Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Jumatatu Januari 19, 2026, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, ameonesha kutofurahishwa kwake na misukosuko inayoikumba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mzee Butiku ameeleza wasiwasi wake kufuatia hatua ya chama hicho kuzuiwa kufanya shughuli zote za kisiasa na kiutendaji, […] The post Butiku Aeleza Mtazamo wa Haki Kwenye Mgogoro wa CHADEMA appeared first on Global Publishers .