Familia yalia na gharama za matibabu ya mtoto aliyejeruhiwa na mbwa Iringa

Baba wa mtoto huyo, Said Ng'amilo amesema tangu tukio hilo kutokea familia imeingia kwenye mzigo mkubwa wa kifedha kutokana na gharama za matibabu.