Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kuanza kwa mafunzo ya kijeshi ya kujitolea kwa mwaka 2026 kwa vijana wa Tanzania Bara na Visiwani wenye umri wa miaka 16 hadi 18.