Vijana Tanzania Bara, Visiwani waitwa kujiunga na JKT 2026

Brigedia Jenerali Hassan Mabena ambaye ni Mkuu wa Tawi la Utawala Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ametoa Rai kwa Vijana wa Kitanzania,Wazazi na Walezi kutorubuniwa na yeyote kutoa fedha kwaajili ya kununua nafasi au fursa ya kujiunga na nafasi za JKT zilizotangazwa leo hii. Brigedia Jenerali Mabena ameyasema hayo leo Jijini Dodoma Januari 20,2026 wakati …