Kampuni ya mawasiliano ya Halotel imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kutoa huduma bora na za kisasa kwa wateja wake nchini, baada ya kuzindua rasmi huduma mpya ya intaneti ya (5G) yenye kasi na ubora wa hali ya juu. Uzinduzi wa huduma hiyo una lengo la kuwapatia wateja uzoefu mpya wa matumizi ya intaneti, ikiwemo kupakua …