DC Muheza atangaza oparesheni dhidi ya wachimbaji haramu vyanzo vya maji

Vyombo vya ulinzi wilayani hapa vinatarajia kuendesha oparesheni ya kuwasaka wachimbaji haramu wa madini, wanaoendesha shughuli hizo katika vyanzo vya maji vilivyopo Tarafa za Amani na Bwembwera.