Msanii na mjasiriamali maarufu nchini, Idriss Sultan amewataka vijana wa Kitanzania kutumia fursa zilizopo kwenye intaneti kama nyenzo muhimu ya kujipatia kipato na kujikwamua kiuchumi, akisisitiza kuwa dunia ya sasa inahitaji ubunifu na matumizi sahihi ya teknolojia. Idriss ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya intaneti ya (5G) …