Dk. Mwigulu afanya mazungumzo na Mhandisi Masauni

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hayo ni Naibu Waziri  Ofisi ya Makamu wa Rais –  Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na …