Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limetoa ufafanuzi kuhusiana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Askari wa Jeshi la Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na bunduki. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma Januari 19, 2026 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tarime/Rorya, tukio hilo lilitokea Januari 15, 2026 majira […] The post Polisi Watoa Ufafanuzi Kuhusu Video ya Askari Kupambana na Mtuhumiwa Benki appeared first on Global Publishers .