Usipuuze! Soma Hatari za Kulala na Hasira Ndani ya Ndoa Zafichuliwa

Wataalamu wa ushauri wa ndoa na mahusiano wanasema kuwa moja ya nguzo muhimu inayoweka msingi imara katika uhusiano wowote ni uwezo wa wapenzi kusameheana haraka na kuachana na kinyongo. Kitendo cha kushikilia makosa ya mwenzi kwa muda mrefu kinaelezwa kuwa chanzo kikuu cha migogoro, majeraha ya moyo na kupungua kwa mapenzi. Kwa kawaida, wapenzi wanapokoseana, […] The post Usipuuze! Soma Hatari za Kulala na Hasira Ndani ya Ndoa Zafichuliwa appeared first on Global Publishers .