Serikali Yatangaza Nafasi 912 za Ajira kwa Walimu na Walezi wa Watoto

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara na Wakala za Serikali (MDAs) pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs), imetangaza nafasi 912 za ajira kwa Watanzania wenye sifa na uwezo, kufuatia tangazo lililotolewa Januari 14, 2026. Kwa mujibu wa tangazo hilo lenye kumbukumbu namba JA.9/259/01/C/16, nafasi nyingi zimetengwa kwa […] The post Serikali Yatangaza Nafasi 912 za Ajira kwa Walimu na Walezi wa Watoto appeared first on Global Publishers .