Putin Aalikwa Kujiunga na Bodi ya Amani ya Trump kwa Ajili ya Kuijenga Upya Gaza

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amealikwa kujiunga na Bodi ya Amani iliyoanzishwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kamati itakayokuwa na jukumu la kusimamia mchakato wa kuijenga upya Ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa Rais wa Urusi, mwaliko huo umefika rasmi, huku mamlaka za Urusi zikieleza kuwa kwa sasa zinafanyia […] The post Putin Aalikwa Kujiunga na Bodi ya Amani ya Trump kwa Ajili ya Kuijenga Upya Gaza appeared first on Global Publishers .