Katika kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas imezindua kampeni ya msimu wa mwezi wa Ramadhan na Kwaresma inayoitwa Pishi la Kibabe ikiwa ni sehemu pia kurejesha shukrani kwa wateja wao. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo Meneja Masoko na Mauzo wa Oryx Gas Tanzania Shaban Fundi […] The post ORYX GAS YAZINDUA “PISHI LA KIBABE”; YASHUSHA BEI YA MTUNGI HADI 37,000 MSIMU WA RAMADHAN NA KWARESMA appeared first on Jambo TV Online .