SALOME: TPDC FANYIENI KAZI MAELEKEZO YA VIONGOZI WAKUU KUKAMILISHA MIRADI YA KIMKAKATI

Watendaji katika Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wametakiwa kutekeleza kwa vitendo maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Kitaifa yanayolenga kuendeleza sekta ya mafuta na gesi asilia, ikiwemo agizo la kuhakikisha mazungumzo ya Mradi wa Kuchakata Gesi kuwa Kimiminika (LNG) yanakamilika kwa wakati ili utekelezaji wake uanze. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema […] The post SALOME: TPDC FANYIENI KAZI MAELEKEZO YA VIONGOZI WAKUU KUKAMILISHA MIRADI YA KIMKAKATI appeared first on Jambo TV Online .