WATOA huduma za uwekezaji nchini 110 wamepatiwa leseni huku wakiaswa mambo 10 ikiwemo kuwashika mkono wawekezaji wa ndani ili kutimiza maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa na wawekezaji wengi wa ndani. Leseni hizo zilitolewa jana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), Gilead Teri wakati wa ufunguzi … The post Wawekezaji wapatiwa leseni wakishauriwa mambo 10 first appeared on HabariLeo .