Kilosa kukamilisha miradi mipya kwa mapato ya ndani

MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro inaendelea kukamilisha ujenzi wa miradi mipya ya maendeleo ikiwemo Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilosa. Shule hiyo inajengwa kwa mapato ya ndani pamoja na nguvu za wananchi itagharimu zaidi ya Sh bilioni 1.5 hadi kukamilika kwake. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Aman Sewando amesema hayo wakati … The post Kilosa kukamilisha miradi mipya kwa mapato ya ndani first appeared on HabariLeo .