Akutwa na uvimbe kilo 7 akidhani ujauzito

CHATO: HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) imefanikisha upasuaji wa kuondoa uvimbe wa kilogramu saba kutoka kwenye tumbo la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 44. Mwanamke huyo ambaye jina lake linahifadhiwa amekutwa na uvimbe huo kwenye sehemu ya kizazi ambapo uchunguzi umebaini ameishi nao kwa miaka minne akidhani kuwa ni ujauzito. Daktari Bingwa … The post Akutwa na uvimbe kilo 7 akidhani ujauzito first appeared on HabariLeo .