Moody’s yachambua matumaini, changamoto uchumi wa Tanzania

Moody’s inaeleza kuwa Tanzania inaendelea kuhamia katika mfumo wa uchumi unaotegemea zaidi uwekezaji wa sekta binafsi, jambo linaloonekana kusaidia ukuaji wa uchumi kwa muda mrefu.