Vikao sita vyafanyika kumaliza sintofahamu ya CCM, ACT Zanzibar
Kwa mujibu wa CCM, taarifa ya kuingia kwenye mazungumzo ilipokewa wakati wa kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu Taifa kilichofanyika Februari 19, 2026 kwenye Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar chini ya Makamu Mwenyekiti, Dk Hussein Mwinyi.