Kuanza kwa utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote kunatarajiwa kutoa huduma 672 za afya, zikiwemo upasuaji mkubwa na mdogo, vipimo vya mionzi, vipimo vya maabara pamoja na matibabu ya kibingwa, hatua inayolenga kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Taarifa ya Ignas Kabirigi inafafanua zaidi Hayo yamebainishwa na Dkt. Reuben Mfugale, akizungumza …