Papa Leo XIV atuma salamu za rambirambi msiba wa Kardinali Pengo

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ametuma salamu za rambirambi kutokana na kifo cha Madhama Kardinali Polycarp Pengo, akimtaja kama mchungaji mwaminifu aliyejitoa kwa dhati kulitumikia Kanisa na Taifa.