Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume ndiyo huwatelekeza watoto wao kwa mama zao, jambo linalosababishwa na harakati za utafutaji wa fedha sehemu mbalimbali nchini au nje ya nchi.