Taasisi Wizara ya Viwanda zatakiwa kuchochea uanzishaji viwanda

ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi zake 13, inabeba jukumu la msingi la kuchochea uanzishaji na uendelezaji wa sekta ya viwanda na biashara, kuzalisha ajira, kuongeza pato la Taifa na kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Katika kuhakikisha … The post Taasisi Wizara ya Viwanda zatakiwa kuchochea uanzishaji viwanda first appeared on HabariLeo .