MOROGORO: JUMLA ya vijana 42,000 wamenufaika na programu za muda mrefu na muda mfupi kwa kupatiwa elimu na mafunzo ya ufundi stadi kupitia Mradi wa Mpango wa Elimu Changamani kwa Vijana Walio nje ya Shule (IPOSA) unaotekelezwa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW). Mpango huo unalenga makundi mahsusi ya vijana ambao hawakuwahi kwenda shule, … The post TEWW kuendeleza usimamizi miradi ya kimkakati first appeared on HabariLeo .