TAWA yajipanga kutekeleza maono ya serikali

MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuwezesha utoaji vibali vya kuajiri askari wa wanyamapori takribani 551 kwa mwaka wa fedha  2025/26. Kaimu Kamishna wa Uhifadhi, Mlage Yussuf Kabange amesema hayo kwenye ziara ya  wajumbe wa Bodi ya Nne ya Mamlaka hiyo ilipotembelea Makao makuu wa Tawa … The post TAWA yajipanga kutekeleza maono ya serikali first appeared on HabariLeo .