Mashauri 526 yasikilizwa kliniki ya sheria migogoro ardhi Dar, madai na mirathi yatawala
Katika Jiji la Dar es Salaam, palipo na mzunguko wa maisha usiozimika, Viwanja vya Mnazi Mmoja viligeuka kuwa kimbilio la wanyonge kuanzia Februari 16 hadi 22, 2026.