SHINYANGA: WAZIRI wa Mambo ya ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania itaendelea kuwa na amani na utulivu huku akiwaonya watu wanaotumika kuichafua nchi na kuzua taharuki kwa kupewa rushwa. Waziri huyo ambaye ni mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini amesema hayo leo alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara aliouandaa kuwashukuru wananchi kumpa ridhaa ya kuwa … The post Katambi: Tanzania amani kwanza first appeared on HabariLeo .