1,275 hawajaripoti kidato cha kwanza Serengeti

Asilimia 24 ya wanafunzi waliotakiwa kuripoti kwa ajili ya kuanza elimu ya kidato cha kwanza katikaHalmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kwa mwaka huu bado hawajaripoti shuleni hadi sasa.