MOROGORO: MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Lukuba, amewafariji watoto yatima wanaoishi katika Kituo cha Dal – Ul Muslimeen Orphanage kilichopo Manispaa ya Morogoro kwa kuwapatia msaada wa vyakula na nguo . Lukuba aliambatana na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) wilaya ya Morogoro mjini kichama pamoja na maofisa ustawi … The post Mbunge atoa msaada wa vyakula, nguo kwa yatima first appeared on HabariLeo .