Makamishina 13 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) wamevalishwa vyeo, wakisisitizwa kufanya kazi kwa kushirikiana ili kutengeneza mazingira rafiki ya kufanyia kazi na kutimiza majukumu yao ya kila siku kwa weledi.