Kampuni za uchimbaji madini zatakiwa kuwekeza teknolojia kwa wachimbaji wadogo
Kampuni za uchimbaji wa madini nchini zimetakiwa kuwawezesha wachimbaji wadogo katika teknolojia za kisasa na usimikaji wa mifumo ya usalama na afya mahali pa kazi ili kujenga uchumi jumuishi unaotokana na sekta ya madini.