SAKATA LA MCHUNGAJI YANICK MBOMBO: POLISI DODOMA WASHANGAA TAARIFA ZA KUTEKWA KWAKE.

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mchungaji Yanick Mbombo Cele, wa kanisa la Ebenezer Restoration Ministry for all Nations, ametekwa na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam. Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime, usiku wa Februari 22, 2026, Jeshi […] The post SAKATA LA MCHUNGAJI YANICK MBOMBO: POLISI DODOMA WASHANGAA TAARIFA ZA KUTEKWA KWAKE. appeared first on Jambo TV Online .