Idara ya Usalama wa Rais nchini Marekani (Secret Service) imemuua kwa risasi mwanamume mmoja aliyekuwa na silaha baada ya kujaribu kuingia katika eneo la makazi ya Rais Donald Trump huko Mar-a-Lago, Florida. Tukio hilo lilitokea Jumapili asubuhi, wakati Rais Trump akiwa jijini Washington DC. Mshukiwa, aliyetambuliwa kwa jina la Austin T. Martin kutoka North Carolina, […] The post MTU MWENYE BUNDUKI APIGWA RISASI NA KUFA AKIJARIBU KUINGIA KWA TRUMP appeared first on Jambo TV Online .