Viongozi wakuu wa upinzani nchini Kenya wametoa tamko kali la kulaani kile walichokiita ni matumizi ya nguvu kupita kiasi yanayofanywa na Serikali kupitia jeshi la polisi na makundi ya vijana yanayolipwa ili kuvuruga mikutano ya kisiasa ya upinzani. Akizungumza katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi mwishoni mwa juma, aliyekuwa Waziri wa Mambo […] The post UPINZANI KENYA WALAANI “NGUVU YA DOLA”: WADAI MIKUTANO YAO ‘KUVURUGWA’, POLISI YAKANUSHA appeared first on Jambo TV Online .