IRAN YAIONYA MAREKANI: “TUKISHAMBULIWA, KAMBI ZENU MASHARIKI YA KATI ZITATEKETEA”

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa onyo kali kwa Marekani kuwa nchi yake itajibu mashambulizi yoyote ya kijeshi kwa kupiga kambi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati, huku akisisitiza kuwa Iran ina haki ya kuendelea na urutubishaji wa madini ya Urani.   Akizungumza katika mahojiano na kituo cha televisheni cha CBS […] The post IRAN YAIONYA MAREKANI: “TUKISHAMBULIWA, KAMBI ZENU MASHARIKI YA KATI ZITATEKETEA” appeared first on Jambo TV Online .