Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Ujenzi kuanza ujenzi wa barabara ya Tengeru- Mirerani km 28 kwa kiwango cha lami. Amesema hayo kwenye hafla la uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa hostel za wanafunzi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela mkoani Arusha leo. Nae Naibu Waziri wa Ujenzi …