Nilikutana na Traveller Banga Kahama bado anajitafuta – Mchaga OG

@mchaga_og kupitia Podcast ya TheJourney ameelezea jinsi alivyokutana na Hyper @travellerbang na uhusiano wao ulivyo mpaka sasa. @mchaga_og amethibitisha kuwa alihusika katika kumpa nafasi @travellerbang wakati anajitafuta @cathed__ amepiga stori nyingi na @mchaga_og Na Full Interview tayari ipo Youtube – Bongofive