NIPO TAYARI KUZUNGUMZA YA OKTOBA 29 WATAYAWEZA? – LISSU, MAHAKAMANI

Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam inatarajiwa kutoa uamuzi wa kama ni sahihi au lah kupokelewa kwa notisi ya ushahidi wa ziada kwenye ushahidi wa shahidi wa 26 katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, ACP Amini Mahamba. Shauri hilo linalosikilizwa na jopo la Majaji watatu wakiongozwa na […] The post NIPO TAYARI KUZUNGUMZA YA OKTOBA 29 WATAYAWEZA? – LISSU, MAHAKAMANI appeared first on Jambo TV Online .