Simulizi ya maaskofu kuhusu maisha ya Kardinali Pengo

Hadi anastaafu, alilitumikia Kanisa kama Padre kwa miaka 54, kama Askofu kwa miaka 42 na kama Kardinali-Padre kwa miaka 27.