Hospitali Geita yaweka nguvu matibabu ya macho

GEITA; HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Geita imeanzisha karakana ya macho ili kukabiliana na mahitaji ya huduma za macho ambayo yamezidi kuongezeka kwa watu wanaopitia changamoto hiyo. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Geita, Dk Mfaume Kibwana ametoa taarifa hiyo katika hafla ya kupokea msaada wa vifaa vya matibabu ya macho … The post Hospitali Geita yaweka nguvu matibabu ya macho first appeared on HabariLeo .