Ulega atangaza neema kwa wahandisi vijana, waahidiwa kazi na zawadi

Ubunifu ndiyo utawabeba Ni nyongeza ya bilioni 200 za Rais Samia Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza mkakati kabambe wa kukuza ubunifu wa wahandisi wa ndani kwa kuahidi kuzawadia mawazo ya kibunifu yatakayotatua changamoto zilizopo nchini. Akizungumza na Jumuiya ya Wanafunzi wa Fani za Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo, Ulega …