Serikali yatoa Bilioni 8 kujenga kituo cha umeme Imalilo ~ Simiyu

Kituo cha Imalilo kukamilika Mei 2026, kuimarisha ubora wa umeme Bariadi Serikali yatoa Shilingi Bilioni 8 kugharamia mradi kwa asilimia 100 Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa …