Bosi Tanesco akagua miradi ya umeme Simiyu

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (TANESCO), Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa mkoani Simiyu. Lengo lilikuwakujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na Kusambaza Umeme cha Imalilo pamoja na ujenzi wa … The post Bosi Tanesco akagua miradi ya umeme Simiyu first appeared on HabariLeo .