MAFUNDI NGUO GEITA WAPATIWA FURSA YA KUONGEZA UZALISHAJI

Tasnia ya ushonaji na ubunifu wa mavazi imeelezwa kuwa endapo itaboreshwa, inaweza kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na kuongeza mapato ya fedha za kigeni yatokanayo na ubunifu wa mavazi. Katika jitihada za kuinua tasnia hiyo, Equity Bank Tanzania tawi la Geita imekuja na mpango wa Ushonaji Plus wenye lengo la kuwawezesha mafundi cherehani wa […] The post MAFUNDI NGUO GEITA WAPATIWA FURSA YA KUONGEZA UZALISHAJI appeared first on Jambo TV Online .