Hospitali maalumu kuwahudumia watoto njiti kujengwa mikoa hii…

Jengo hilo lenye thamani ya Sh2.1 bilioni linatarajiwa kuzinduliwa rasmi Februari 28, 2026 na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus.