ACT Wazalendo waibua mambo manne Sh200 bilioni za vijana
Wakati Serikali ikiendelea kuimarisha juhudi za uwezeshaji wa vijana kiuchumi nchini, Vijana wa chama ACT-Wazalendo wameibua kasoro kadhaa wakipendeza mambo manne kumaliza changamoto za vijana nchini.