TULIBAINI MTOTO HAJARIPOTI SHULE TUKAMUWEKA NDANI MZAZI – MTENDAJI

Kutokana na mkoa wa Njombe kufanya vizuri katika mitihani ya Darasa la Saba, Kidato cha Pili na Kidato cha nne Kitaifa, imeelezwa kuwa mafanikio hayo huanza na usimamizi ngazi za vijiji na kata kwa kufanya tathimini wenyewe kwenye mchakato wa kusimamia elimu jambo ambalo linasaidia kutoa matokeo chanya katika mkoa huo. Kata ya Utalingolo iliyopo […] The post TULIBAINI MTOTO HAJARIPOTI SHULE TUKAMUWEKA NDANI MZAZI – MTENDAJI appeared first on Jambo TV Online .