Chalamila asaini kitabu cha maombolezo kufuatia kicho cha Cardinali Pengo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Feb 23,2026 akiwa ameambatana na kamati ya usalama Mkoa, amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo la Dar es Salaam Mwadhama Cardinali Polycarp Pengo Kurasini Jijini humo. Aidha Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati ya usalama alieleza masikitiko yake makubwa …