REB yaridhishwa usambazaji gesi asilia Pwani

PWANI: Utekelezaji wa mradi wa kusambaza gesi asili katika eneo la Kisemvule, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, umeendelea kuibua matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo ambapo zaidi ya Sh bilioni 6.8 zimewekezwa katika kusambaza gesi asilia katika maeneo yaliyopitiwa na mkuza wa bomba la gesi asilia. Mradi huo umejengwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli … The post REB yaridhishwa usambazaji gesi asilia Pwani first appeared on HabariLeo .