MWANZA; Taasisi ya Doris Mollel Foundation chini ya Mkurugenzi Mtendaji wake Doris Mollel, imefanikisha ujenzi wa jengo jipya la kisasa maalumu la kwanza nchini kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (watoto njiti) lililopo katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza. Jengo hilo lenye thamani ya Sh bilioni 2.125 … The post Taasisi yakamilisha jengo la watoto njiti Mwanza first appeared on HabariLeo .